
Nikamuuliza “kwanini uniite boss.” Hakujibu badala yake akaendesha gari nami nikishangaa jiji lilivyo zuri. Kisha tukafika mahali akasimamisha gari na kusema “Ndeana, Nakupenda. Kuwa mpenzi wangu tafadhali. Siwezi kujizuia kwako. Hisia hizi ni kweli na ndiyo. Nipo tayari kufanya lolote kwaajili yako. Nipo tayari kufanya kila kitu kwaajili yako kwasababu wewe ndiyo furaha yangu. Nakupenda na nasikia furaha ambayo sijawahi kuwa nayo kabla.” Nikamtazama. Yeye akatanitazama na kutabasamu halafu akashuka na kuja kunifungulia mlango. Mimi mwenzenu nilizoea super market moja tu, Mliman city pale nikichoka nibebane na wenzangu tukasafishe macho. Huyu mwanaume alinipeleka moja kati ya supermarket nzuri na kubwa
0 Comments