
Mwandiahi; maramoja the great 0789 824 178 Simulizi za john 1000 Basi iyi siku ilikua j pili tukapiga sana story na sharon ananielekeza mazingira ya shule nkamzoe nkamwambia kuna rafik angu anakuja anaitwa ney basi atakuja lala iki kitanda kingine sharon akasema amna shida basi ukafika mda wa kula akanambia twende tukachukua nkamwambia mh kwan akuna chips kuku uku akasema zipo wanauza ila nkampa ela nkamwambia mm naenda kuoga ww kanunue sahani 2 na soda tuje kula shoga angu wee sharon alifurah uyo akachangamkia fursa chapu akachukua ela akaenda mi nkaenda kuoga nikatoka nakuta sharon ndo analudi tukala tukapiga stry
0 Comments