😁PENZI LA BABA 9

😁PENZI LA BABA 9

Mama mkubwa hakuwaelewa aisha na baba ake kabisa yani alimwambia baba aisha " nilikuwa nakueshimu sana lakini kwa hichi kitendo siwezi kukaa kimya lazima wazazi wajue ili marehemu mdogo wangu apumzike kwa amani." Baba aisha akasema,, nakupa million sita shemu naomba usiseme. Mama mkubwa alikataa pesa aliwaita wazazi pande zote mbili na ndugu wote wakaja kwenye kikao. Mama mkubwa alikuwa ndio anaongoza kikao alisema kwamba ,, jamani nimewaiteni hapa kuwambia tu mambo ya ajabu niliyo yaona kwenye hii nyumba na siwez kukaa kimya bora niseme tu ili nisijibebe au nisijipe dhambi isiyo yangu Mama mzazi wa baba aisha akasema,, ebu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments