😁PENZI LA BABA SEHEMU YA 10

😁PENZI LA BABA SEHEMU YA 10

MTUNZI:- Majimengi tz Aisha alimpigia baba ake simu akiwa analia.Baba alipokea simu akamwambia aisha mwanangu, mbona unapiga simu usiku huu? Aisha hakujibu. akamuuliza tena mbona haujibu? Mbona kama unalia tatizo nini? Aisha akakata simu. Baba aisha alikuwa anampenda sana mwanae, Alivyo sikia mwanae analia kwenye simu alafu aongei, baba kwa upendo aliokuwa nao kwa mwanae alipanda bajaji usiku huohuo kwenda kumuangalia aisha amefanywa nini. Aisha aliamua kutoka ndani kukaa nje maana mme wake alikuwa amelala fofofo, alafu katapika kitandani kote na aisha asinge weza kulala. Baba aisha alipo fika akashangaa kumuona binti yake akiwa nje ya nyumba saa tisa usiku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments