😁PENZI LA BABA ANGU_ 12

😁PENZI LA BABA ANGU_ 12

Baba aisha alikuwa anamwagiwa mafuta mwili mzima ili achomwe moto maana watu wa ule mtaa walikuwa na hasila sana na wezi, sababu wezi walikuwa wanawatesa sana kwa kuwaibia na kuwakaba usiku wakina mama, wazee, vijana pia. Kipindi baba aisha, kaisha mwagiwa mafuta mwili mzima kuni zikiwa juu yake maana alikuwa kafungwa kabisa mzima mzima, akiwa anasubilia kuchomwa moto tu, baba aisha alilia kama mtoto jamani anaomba msamaa asamehewe mpaka kamasi likimtoka juu, kiberiti kililetwa, njiti ya kwanza iliwashwa ili warushe moto kwa baba aisha aungue kabisa ila upepo ukawa mkali uliizima ile njiti, wakawasha tena ila upepo ukawa kama umezidi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments