SWAUMU💕 EP O1...O5

SWAUMU💕  EP O1...O5

  Hivi nyie mnawajua hawa wakaka wa magari makubwa hawa madeleva wanaendesha sijui wanayaita malory🤣🤣  hawa wanaenda nje ya nch Nyie hawa wakaka ni malayaaa sijui wababa Ewiiii🙌🙌🙌🙌😅😅😅 hawa ni malaya sijawahi kuona mbwaaa🤣 sasa mie niwapeni mkasa wangu yalio nikuta afu ni kweli kabisaa msije sema nawapanga😅😅😅😅   Mie bwana nilimaza Form four nikazungusha zeroo 😫😫😫yaan nilifeli nikapata sifurii kabisaa 😔   Sasa nikawa mtaani sina cha maan nachofanya nazunguka tuu kama tiara iliyokatika kamba , Nikajiwazia zangu  kwanini nisitafute kijikazi changu cha kusukuma siku ziende nikaingia mtaani kutafuta kazi za mama lishe nisiwe mzigo kwa mama Mana hata 

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments