
Kuna hospitali moja ambayo mzee huwa anaenda kutibiwa akiwa anaumwa, Mzee akapendekeza waende kwenye hiyo hospitali, Mwanamama sakina alipogundua hospitali ambayo itafanya vipimo vya DNA ilibidi aende kwenye ile hospitali kabla ya wengine hawajafika, Sakina alifika kwenye ile hospitali mapema na kuwapatia pesa madaktar watakaoshughulikia swala la vipimo,kisha akawaambia wafanye ujanja wowote ilimladi sadiki aonekane ni mtoto wa yule mzee, Sakina alipomaliza kuwapanga madaktar alirudi na kujifanya kama hakuna kinachoendelea... Wakati huo mimi nahangaika kupata pesa ya mahari, Baada ya kuwa nimefikisha kiasi cha laki tano nikaona ni vyema nifanye mpango wa kupeleka posa kwao na Edina, Sababu pale ilikuwa
0 Comments