Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Lakini wakati huo ndoa ya tina na sakidi ambaye ni mtoto wa sakina imestopishwa kwanza... Inaendelea... Sehemu Ya 18

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Lakini wakati huo ndoa ya tina na sakidi ambaye ni mtoto wa sakina imestopishwa kwanza...  Inaendelea... Sehemu Ya 18

Baada ya sakina kwenda mahakamani, Kesi ikaanza kusikilizwa sakina na mumewe. Sakina alikuwa anataka talaka, Mzee alijaribu kukataa lakini ikashindikana, Mzee ikabidi akubali kutoa talaka, Lakini kabla hatoa talaka sakina akasema inabidi mzee kabla hajatoa talaka agawanye urithi kwa watoto wake wote sababu yeye umri umeshaenda hivyo anaweza akatangulia mbele za haki,harafu watoto wakadhurumiana kwenye kugawana mali. (Sakina aliamua kufanya hivyo ili mwanae apate urithi mapema sababu yule mzee watoto wake ni wale wengine ni wakubwa kuliko Sadiki, na yule mzee hadi umri ule tayari ana wajukuu wakubwa tu, Kwahiyo sadiki ndio mtoto wa mwisho kwa yule mzee) Wakati huo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments