Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Lakini cha ajabu nilimkuta mtu mwingine kabisa ambaye simfahamu, Na alikuwa ni mwanaume. Inaendelea... Sehemu Ya 8

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Lakini cha ajabu nilimkuta mtu mwingine kabisa ambaye simfahamu, Na  alikuwa ni mwanaume.    Inaendelea... Sehemu Ya 8

Lakini mkononi mwake alikuwa ameshika bahasha, Nilitaka kurudi sababu niliogopa huwenda akawa ni mtu mbaya, Yule jamaa akaniambia usiogope kuna mtu kanituma naamini wewe ni David, Nikajiuliza amelijuwa vipi jina langu au huyu mwanamke ameolewa. Yule jamaa alipoona nazidi kuwa na hofu akanipatia ile bahasha na kuniambia nadhani unamfahamu aliyenituma, Niliichukuwa ile bahasha huku naogopa. Jamaa aliponipatia bahasha aliingia kwenye gari na kuondoka. Nilibaki nimesimama huku mkononi nimeshika ile bahasha, Muda kidogo sakina akanipigia simu, Nilipokea simu huku sielewielewi kinachoendelea, Sakina akaniambia kuna bahasha hapo umepewa lakini usiogope ni mimi nimemtuma akuletee sababu kuna kazi kidogo hapo kama utaiweza utanisaidia,lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments