Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Nilicheka na kumwambia nyoosha barabara wewe... Inaendelea... Sehemu Ya 7

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Nilicheka na kumwambia nyoosha barabara wewe...  Inaendelea... Sehemu Ya 7

Tulifika hadi pale aliponielekeza mwanamama sakina, Nilimlipa wa boda akaondoka. Nikaingia kwenye baa ambayo amenielekeza nikamkuta mwanamama sakina akiwa anakunywa soda ya Pepsi, Nilimtania kuhusu utamu wa Pepsi, Lakini haikuwa shida nikaagiza na mimi Coca-cola bariidi, Tulianza maongezi na mwanamama sakina, Yeye alikuwa na maswali mengi ya kuniuliza lakini mimi nilikuwa namuuliza mara moja moja sana, Tuliongea mambo mengi lakini mwanamama sakina yeye alionekana kuniuliza sana kuhusu mambo ya biashara, Aliniuliza kama kuna biashara nafanya au kama nilishawahi kufanya biashara, Lakini mimi nilimwambia biashara bado sijawahi kujaribu labda kama kufanya kazi ndogo ndogo. Mwisho wa maongezi mwanamama sakina akawa amenikubalia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments