Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Sakina akawa ameniambia inabidi nifanye mpango wa kuhamia mjini... Inaendelea... Sehemu Ya 9

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri  Sakina akawa ameniambia inabidi nifanye mpango wa kuhamia mjini...  Inaendelea... Sehemu Ya 9

Kuhamia mjini ili niwe karibu yake. Siku inayofuata mwanamama sakina akanitumia pesa kiasi cha laki tatu akaniambia nifanye maandalizi ya kwenda mjini, Sehemu ya kwenda kukaa ipo na tayari ameshaniandalia. Lakini wakati huo mimi na tina mapenzi yamenoga mpaka tukapanga tina akimaliza masomo tutafunga ndoa, Lakini muda wa kurudi chuo ulikuwa umekaribia, Niliona nisije nikaondoka nyumbani ghafla ilibidi nikae na wazazi wangu na kuwaambia nataka kwenda mjini nimepata kazi ya kuosha magari, Baba alionekana kama kutokupendezwa na mpango wangu wa kutaka kuondoka pale nyumbani maana aliona kazi zitakuwa haziendi, Lakini akanikubalia. Nilimtafuta tina na kuongea nae nikamwambia na yeye kwamba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments