Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Lakini wakati tunamalizia maongezi alifika mwalimu Jose na kuuliza mnafanya nini uku? Inaendelea... Sehemu Ya 5

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri  Lakini wakati tunamalizia maongezi alifika mwalimu Jose na kuuliza mnafanya nini uku?  Inaendelea... Sehemu Ya 5

Hatukumjibu chochote kisha akasema haya kila mtu darasani, Tukawa tumerudi darasani, Tulipoachiwa kutoka shule mimi nilifika nyumbani na kuwadanganya wazazi wangu kwamba kuna mahitaji muhimu tumeambiwa tununue pamoja na vitabu kwa ajili ya mtihani, Wazazi wangu walikuwa wanajitolea sana kunisomesha, Wakawa wamenipatia pesa ili nikanunulie mahitaji, Ukweli ni kwamba ile pesa niliyoomba kwa wazazi wangu nilikuwa naenda kumpatia tina. Kesho yake nilipofika shule nilimtafuta tina na kumpatia ile pesa, Tina alifurahi sana alirukaruka na kunikumbatia, Kwa mara ya kwanza tina akanipiga busu katika shavu langu la kushoto, Nilihisi mwili kusisimka. Lakini mwalimu Jose toka amenifumania na tina hakuniambia chochote. Ilinipa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments