
... nikamuuliza unafanya nini hapo alikimbia ndani nilimfuata hadi ndani na kumwambia ukome hiyo tabia, baada ya miaka miwili mimi na sakina tulikuwa na mtoto mmoja lakini mimba aliipata wakati ule mimi nipo kwenye usimamizi wa ujenzi, na mtoto alikuwa ni wakiume ambaye kwa sasa ndio sadiki, mimi kama baba nilimpenda sana mwanangu sadiki sababu yeye pekee ndio mtoto wa kiume, lakini kwa mke mkubwa wote ni watoto wa kike na wapo wawili jumla nina watoto watatu, Baada ya muda mrefu kuwa nimempangishia sakina nikaona ni vyema sakina nimjengee nyumba, kweli nikafanikiwa kumjengea nyumba lakini ilikuwa ni ndogo, nilipokamilisha kumjengea
0 Comments