
Nilitoka lile eneo na kuanza kutafuta barabara, Nilifanikiwa kutokezea hadi sehemu ya barabara niliendelea kukimbia sababu ile barabara ilikuwa haina watu wengi, Nilikimbia huku naogopa wale watekaji wasije wakanikamata na kulirudisha, Bahati nzuri nikapata mtu wa pikipiki nikamuomba lifti akanisogeza hadi kwenye kituo cha kupandia gari, Kwakuwa kuna namba nilikuwa nimezikalili kichwani nikaona nitafute simu ya kuazima ili nipate msaada mapema nikatafuta simu ya kuazima nikapa nikajaza namba ya sakina nikapiga simu kwa sakina lakini hakupatikana, Ikabidi niweke namba ya baba kama hatopatikana nimpigie tina maana nilikuwa nimekalilii namba za watu watatu, Nikajaza namba ya baba nikapiga bahati nzuri baba
0 Comments