
Mkononi mwangu kisha nikainywa nilianza kupata maumivu makali ndani ya tumbo langu, Nilianza kuhisi misumali inachoma pembeni ya tumbo langu, Nilikuwa nahisi utumbo wangu unakatikakatika, Niliona leo kweli nakufa, Alikuja baba na kuanza kugonga mlango huku anapiga makelele dada nae aliamka na kuanza kuita watu hatimaye watu walikuja kusaidiana na baba hadi walifanikiwa kubomoa mlango na kuingia ndani baba alipoona mabaki ya sumu ya kuulia wadudu aliomba mtu mmoja aende akatafute maziwa, Aliyeagizwa kwenda kutafuta maziwa alitoka huku anakimbia kwenda kutafuta maziwa wakati huo dada analia na watu wengine wanahangaika kutafuta usafiri wa kunipeleka hospitali, Baba alianza kulia akinililia ni
0 Comments