Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Nilitaka kuondoka mzee akaniambia... Inaendelea... Sehemu Ya 15

Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri   Nilitaka kuondoka mzee akaniambia...  Inaendelea... Sehemu Ya 15

mzee akaniambia kabla hujaondoka achana na mke wangu,haya ondoka haraka na upesi. Niliondoka bila kuonana na tina lakini nilikuwa nawaza au mke wa yule mzee ni sakina maana nilikuwa sifahamu kama sakina ameolewa au hajaolewa. Wakati nipo barabarani narudi nyumbani na kichwani mawazo mengi, lilikuja gari na kusimama karibu yangu nilitaka kukimbia lakini dereva wa ile gari alishusha kioo na kuniambia vipi au umenisahau!? Nilipomuangalia vizuri alikuwa ni yule jamaa ambaye alikuwa ananiletea bahasha kipindi cha zamani wakati ule tunaanza mahusiano na sakina. Yule jamaa akaniambia twende unaitwa na boss sakina, Dah nikaona labda ana kitu kingine cha muhimu, Ikabidi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments