
Tulifanikiwa kupata vifaa na kuanza kazi ya kutengeneza kengele, Lakini wakati huo tulikuwa tunakaribia kuhitimu kwahiyo waalimu wakapendekeza kabla ya mtihani, Tufanye kwanza sherehe ya Mahafali, Waalimu walikaa na kupanga tarehe ya sherehe za form 4, Wakapanga na kiasi cha mchango kwa ajili ya sherehe, Mwalimu ambaye aliteuliwa kusimamia mambo yote na ukamilishaji wa sherehe,vyakula na michango, alikuwa ni yule mwalimu ambaye alisimamia kesi ya Tina kupelekewa barua na Side. Yule mwalimu alikuwa anaitwa mwalimu Jose, Mwalimu Jose alinifuata na kunipatia kazi ya kukusanya mchango wa pesa kutoka kwa wanafunzi wenzangu wa form 4, Nilianza kuchangisha mchango kwa ajili ya
0 Comments