
Ajali zilikuwa zinatukosa kosa nilipiga kelele nakuomba Mungu, badae gari ilifunga break kwanza kizunguzungu, na kichefechefu, Jeon haongei akafungua tu mlango wa gari nikatoka, nililudisha chenchi jamani ðŸ˜, " samahani gari ilipata shida ya break na speed ghafra iko sawa kwa sasa tunaweza kiendelea, sikuwa na jinsi kwanza njia tuliyokuwa tunaenda sio kabisa ikabidi tugeuze gari mpaka home njiani ilibidi alipie fain na kueleza ilikuwa na tatizo... Tulifika home, haongei njia nzima kanuna mpaka anaogopesha, nilitamani kumuuliza naikaogopa ,tumeingia ndani, hajakumbuka hata kusalimia kapita kila mtu, mama ake akauliza mliko toka kuna mtu kamkela huyu?, nikajibu sijui mama mimi tumekuja
0 Comments