
Uyu ni mama, unamuumiza, Amina mke wangu, mama anaumia uyu muonee huruma sio kosa lake kumbuka, leo anahasira na mimi, sina mama Amina, natamani ningekuwa na mama, kama mama ako, nisingethubutu kumfanya aumie, mama anaumia mala mbili yako Amina, jaribu kumuelewa, siku akifa na pressure utafurahi?, nilijikuta nalia nakujua nimekosea, mama angu hana mtu mwingine wa kumpa furaha zaidi yangu, hana mtoto mwingine, na hakujua kama Amir atafanya hivi, hakujua kama kaniingiza kwenye mdomo wa mamba, pale pale nilimpigia mama angu, na hii no mpya, alipokea kwa majonzi nikajua kabisa mama angu amelia sana, niliigiza kuwa sawa, sikutaka asikie kilio
0 Comments