PILOT NIACHE NIMEKOMA ❤ EP 5.

PILOT NIACHE NIMEKOMA ❤ EP 5.

Siku zilikuwa zinakimbia jamani, yani zilitufanya tukawa na pressure mno, Amir alinambia Bibi yuko huku kwa ajili ya mavazi yetu ya harusi, tunapaswa kwenda kuonana nae, tulikubaliana mida ipi tuondoke, tuliondoka kila mtu kivyake, tukakutania mbele, bibi alifurahi mno kutuona, akanambia napaswa kubadili mavazi yangu ya kazi na hata ya nyumbani, nilikubari... Tukaanza kutafuta nguo, nilikuwa na mwili wa nguo hivyo kwangu haikuwa na shida kabisa, mwenzangu pia alipata zilikuwa nzuri na za gharama mno,nguo ya pili pia nilipata, kila kitu kiliwekwa sawa bibi akaondoka navyo, tukabaki wenyewe sasa, Amir alionekana ni kama kuna jambo anawaza sana, nilimuuliza kwa sms

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments