PILOT NIACHIE NIMEKOMA JAMANI* *SSEHEMU YA 6 na 7

PILOT NIACHIE NIMEKOMA JAMANI*  *SSEHEMU YA   6  na  7

Nilishtuka mpaka nikapata kwikwi,nilianza kurudi nyuma, alinisogelea zaidi adi tukafika ukutani, " kulikoni mke wangu unanikimbia? Amna kitu Amir, unajua nilianza kujikanyaga kanyaga apo, akaona aniulize tu, " bado hauko tayari? Nilimtizama uku mapigo ya moyo yanaenda mbio vibaya mno, nilijibu tu Amir naomba uku kazini tusifanye chochote basi, tutafanya hivyo nyumbani... Amir alinitazama akasema, usijari mke wangu, siwezi kukulazimisha, nahitaji ukubari kwa hiyari yako, nitasubiri mpaka utakapokuwa tayari, ila naomba nitoke tu, siku hizo nilizokuomba, nitarudi tuondoke kwa pamoja kwenda nyumbani, nulikubari akaomba angalau basi alale na mimi usiku wa leo, hatonifanyia chochote, anahitaji tu joto langu, nilimtizama lile

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments