POOR RICHMAN*😍 (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 6

POOR RICHMAN*😍  (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 6

Kwanza mpaka Jovin mwenyewe alishangaa kwamba imekuwaje Siku Hiyo Mama huyo amekuwa na roho nzuri Juu Yake, hata Mr Jailo naye alishangaa Mke wake kukubali Jovin alale pale. Kuna Muda adui yako akikukarimu lazima ujiulize Mara mbili mbili kwamba kuna usalama!???, Hata Jovin naye alibaki na viulizo vingi Muno kuhusu ule wema Wa Mama yake Wa Kambo. "Uuuuu mbona Siyo Kawaida! Huyu Mama na roho yake mbaya karuhusu nilale, si alisema nyumba za watoto wake nisije kanyaga hapa!!?" Yalikuwa ni maswali ambayo Jovin alikuwa anajiuliza pasina majibu!. Ni kweli Jovin alienda kulala chumba alicho elekezwa, ila ukweli usingizi ulikuwa hauji

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments