
zanzibar kwa wiki moja, ndo kwanza tulikuwa tumemaliza form 6, matokeo yametoka tumefaulu vizuri sana, mimi na rafiki yangu, dada ake akawa ametuandalia mtoko wa kwenda kuenjoy Zanzibar na ndiko alikoolewa, apo nilikuwa na furaha mno mtoto wa mama P, rafiki yangu Lisa alikuwa kashajiandaa yuko ananisubiri, nilitoka tukasepa, apo mama kashanipa ushauri wa kutosha, kama utani hatimae tulifika Zanzibar dada ake Lisa alikuja kutupokea tulikaribishwa vizuri, ila mazingira yakwake hayakuwa rafiki, aliamua kukodi aprtment tuishi wenyewe kwa wiki mbili, alipiga simu nyumbani nakuona isiwe wiki moja ziwe mbili, wazazi walikubali japo mama alileta kaugumu, tukampanga akalainika, keshi yake tukawa
0 Comments