
.. Nilienda kukaa chumbani kwa Kingston..kama nilivyowaambia akiwa usingizini ndo anazidi kuwa mzuri maana zile akili za kizezeta huwa hazipo.. Nilichukua simu ya Kingston ili nicheki aliyekuwa anaongea naye but sikufanikiwa kufahamu maana simu niliyoikuta pale haikuwa na kitu chochote.. Huenda kweli anaumwa sitakiwi kumhisi tofauti...nilijiambia hivyo huku nikiendelea kumtizama The Boy pale kitandani.. Basi mwenzenu wakati niko kule chumbani sijui ilikuwaje mpaka namimi nikasinzia😓😓 Tena nilivyo mshenzi nikasinzia huku kichwa changu nimekilaza kwenye mapaja ya Kingston😒 Pozi nililolala ni la ajabu sana😢😢yani nilimkumbatia the Boy kama mwanaume wangu... Sizani kama ni vyema kujilaumu sana nahisi shida ni ule uchovu
0 Comments