
Ukiulizwa kuhusu Kampuni ya Samsung utajibu harakaharaka kwamba inahusiana na utengenezaji simu ila ukifika Korea Kusini mambo ni tofauti kabisa. Kwa Korea, Samsung ni kama nchi ndoto ambayo inaoparate hapo Korea. Mwenyekiti wa Samsung ana nguvu kubwa kuliko hata rais wa nchi hiyo. Unashangaa? Acha nikujuze. Samsung inacontrol asilimia 23 ya GDP ya Korea Kusini. Kwa mwaka kampuni hii inaingiza dola bilioni 140. Hizo ni pesa nyingi sana, ni zaidi ya mapato ya nchi 150 hapa duniani. Kuhusu simu? Hiyo ni biashara ndogo sana inayofanya Samsung, yaani kama ice cream kwa Bakhresa. Hawa Samsung kwanza ndiyo wanatengeneza display panels na
0 Comments