
Msanii maarufu “Toss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA.
Mrembo huyo si mwingine bali ni Nadia Nakai, ambaye mbali na kuwa rapa pia ni muigizaji na DJ maarufu nchini Afrika Kusini. Taarifa zinaeleza kuwa wawili hao wamezama rasmi kwenye penzi jipya ambalo linaonekana kuchanua kwa kasi kubwa.
Soma zaidi
0 Comments