
"Mimi ?" Maverick alimuuliza meneja huku amejinyooshea kidole " Ndiyo wewe kwani Kuna namba 33 mwingine zaidi yako au umeshiba ugali na hautaki hii kazi tena " alisema meneja " Hapana boss wangu , bado naipenda kazi yangu " maverick alijitahidi kuwa mpole " Nifuate haraka sana " meneja aliongea kwa kufoka Maverick alikasirika sana hakutaka kupoteza ile mission kwa siku ile lakini pia hakutaka kugundulika kirahisi hivyo alifuata alichoambiwa " Huyu hapa kijana uliyemchangua miss namba yake ni 33 hapa huwa hatutumii majina " aliongea meneja huku anacheka Cheka " Wow mbona kama nakujua wewe kaka hii sura yako
0 Comments