πΏπ‘œπ‘£π‘’π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 ππŽπ‘π 𝐍𝐀 ππˆπŠπˆπ‘π€ π˜π€ π‡πŽπ”π’π„ π†πˆπ‘π‹ (π™Žπ™π™–π™£π™œπ™– π™†π™žπ™ͺπ™£π™€π™£π™ž) SEHEMU YA 01

"Rose uko wapi?" aliuliza Raymond akiwa anaongea na mpenzi wake kwenye simu "Niko Kinondoni" alijibu Rose "Ok kwa hiyo sasa?" "Vipi kwani?" aliuliza Ray "siku ya keshokutwa baada ya kesho natakiwa niende kijijini nikasalimie" alisema "Mmmmmh Ray" Rosea aliguna "Kweli vile mbona unaguna?" aliuliza kwa jamaa huku akitabasamu "Yaani kweli ndo unaniambia sa hivi jamani mpenzi siku moja tu imebaki, kweli unanidharau" "Sorry babe, unajua mama analalamika sana anasema kwamba nimemsusa sitaki kwenda nyumbani, miaka 5 sijaenda home, sasa hapa kwa sababu ya Janga lililotokea kwenye kampuni yetu, basi nimepata kufunga kazi kidogo tu ngoja nikamsalimie i promise nitakaa wiki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments