DOCTOR BOSS ANATAKA TENA🄰 3.--4

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA🄰 3.--4

Nakutana macho kwa macho na yule kaka nilietembea nae kwa kulewa, tena ndio CEO wa hapa field, niliona aibu make ata yeye alinikazia macho vibaya mno, nilishindwa kabisa kumuangalia usoni, tulipewa utaratibu, na kutambulishwa nilipofika mimi kujitambulishwa jina nilijitambulisha nikashangaa yule CEO kashtuka, akanitizama kwa makini, sikuweza kumtazama nikakwepesha tu macho uku naongea, tulimaliza tukatoka kuendelea na majukum... Nilikuwa makini ili nisijekuhalibu chochote, maishs yangu yenyewe ni ya kuunga unga, upande wa Prince CEO, alitoka akiwa na haraka, akaingia kwenye gari lake, uku anaongea na mdogo wake waonane, walikubaliana kuonana pale pale kwenye hotel ya CEO, " Bro mbona unaoneka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments