𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA 10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi

𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨    SEHEMU YA  10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi

,Albert akawa omba walinz wake watupishe kidogo tuna maongezi basi nao bila kupiga wakatupisha . Apo nikamfata nikamkombatia Nikaanza kupapasa ndefu mtoto wa kike nikachukua chapati nikaikata kidogo nikachomvya kweny maini niliyoyapika . alafu nikaila kidogo upande ulionak nikamlisha Alberto na mdomo wangu . kwanz Alberto alishangaa mamb gani Aya hajawai niona Nina mahaba iv bac akadadis kunakitu nataka sio bure . Nikamrisha pale tulivyomaliza tu nikamwambia Alberto Kuna jambo nataka kumwambia naomba unisaidie Alovyosikia ivo tu akakza kucheka n kuniambia nilijua tuu hmn jipya Kuna kitu unatak maana sio Kwa mahaba haya cjawai kukuona unafanya iv nakwtaarifa yako huruhusiwi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments