HATARIIII SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho

HATARIIII  SEHEMU YA "1"❤️❤️❤️❤️❤️❤️  Mwenzenu kwa majina tuseme naitwa skyler ni mzaliwa wa mwisho

ktk familia ya watt wanne wa kwanza dada wapili kaka watatu dada na wanne ni mimi apa skyler kwetu ni wakristu na tunaishi na mama baba yetu alifariki miaka ya nyuma kdg iliyopita😞 basi bhana nilimaliza form four 2011 story yetu ianzie hapa tangia nmevunja ungo nikiwa form one sikuwahi kua na mahusiano kabisa hio ni kwa sababu kwetu walikua wanatuchunga sana sio wa kishua ila tulikua hakuna kutoka mpk ruhusa maalumu pia changamoto ilofanya nisiwe na mahusiano nilikua nina kimwili kidogo sana nahisi wanaume walikua wanahisi bado mdg 🤣🤣🤣 sasa bhana baada ya kumaliza form four huyu dada angu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments