
aliongea akitaka kuondoka lakini Tasha alimrudisha kibabe zaidi. "Acha bhangi ni kama umeanza kuwa mizizi ya bhangi na hata unajisahau " "Nieleweshe, kwanini umenitoa nilipokuwa nimekaa na ukaamua kunileta hapa " "Ni kweli hujui kwanini umeletwa hapa" "Ningekuwa najua sababu iliyonifanya niwe hapa hata nisinge kuuliza maswali yasiyo na majibu " Tasha alimsogelea taratibu Bryant Kobe kisha akamuweka denda la maana. Walijikuta wakibadilishana mate, si unajua tena kipepo cha uzinzi kinavyo kuwaga na nguvu. Bryant Kobe ndio kushtuka baada ya kuona anashikwa shikwa kwenye nyeti zake. "Kuanzia sasa na kuendelea hatuta fanya hivi tena wala kushikana shikana ...." Bryant Kobe
0 Comments