
na yule mdada wa kazi wangu Hafsa , nilijikuta nimemzoeaa sana kwasababu ni mchngamfu kama mimi hapa nilimpenda tu jamni huyu mdada maaana tulipiga umbea sana , mhhh hatimae usiku ulifika nikaa nipo natizam moviee mume wangu hajarudi kabisa "Dada huendi kulala saaa hivi saa tano usiku? ,aliniuliza Hafsa mhhh usijali namsubiri mume wangu 🤭 arudi sijui atarudi saa ngpi yaani" nilimjibu Hafsa huku natabasamu nilionesha uchangamfu kwenye kumjibu " unadhani atarudi huyoo mhh siju🤷♀️ " anaonekana anamfahamau sana mume wangu " una madini yaonekana hebu njoo ukae hapa" alikaaa karibu yangu " haya nambie kila unachojua kuhusu mume wangu"
0 Comments