
akasema mke samahan Kuna watu wanakuja kuvamia kwaiyo Sina budi kuiliΓ±d imaya yangu. Daaah nilikaairika sana na yeye mwenyw alijua nimekasirika alivoondoka nikabaki nasonya Sonya mwenyw kama sina akili nzurπ. Muda ukaenda adi ikafika saa tisa mtu hajarudi ,nikaona we usintanie Kwan ofisini kwake sipajui .nikavaa koti ya night dress nikamfata ukouko ofini . Nikamkuta ,ndo wanamalizia kupanga mikakati. Alivyoniona tu akafunga kikao ,nakuamuru . watu wake waondoke, Mimi sio mtu wa karibU na Alberto Sanaa ila Kwa sasa nilimuona hayupo sawa kabisa Yani maaana alionekana anastress. Sikutaka atakumuuliza sababu nikamwafata nikakaa mezani kwake alafu nikamlza kifuani , nikawa kama
0 Comments