
na ina wafanyakzi wa kutosha na wote wamevaa sare jamani mhh na ni nzuri sana imagine furaha yangu ninaenda kuwa mkwe kwenye hii nyumba jamani, Muda wa mezani ulifika na hapo ndipo nilishuhudiaa familiaa ya kina Suzy mezani na wenyewe wanaonekana kwa machoo ni watu wazito na niwanapesa piaa, tulikaa mezani ila ndipo maongezi yalipoanziaa hapa mezani "Okay jamani leoo kuna best occasion leoo ninataka nimtambulishee mkwe wangu kipenzi cha mwnangu haikuwa rahisi sisi kumpata msichana mrembo huyuu mwenye haiba ya kuoendeza Angel Deus" nilitoaa machoo jamani, na tabasamu pana nyiee mimi nikajuaa hata anatambulishwa Suzy, hee aliinuka Suzy kwa
0 Comments