
na mawifi zangu walirudi niliingia jikoni nikapika chakula pambe sio powa yani mhh kulikuwa pambee kumanisha sio powa kwa uzuri uleee jamani , nilitenga mwenyew jamni ila muda huo wote mume wangu hakuwepo kabisa nyumbani "jamni mkwe wangu mhh inaonekana upo vizuri san kwenye haya maswala ya mapishi , maaan sio kwa utamu huu binti yangu, kwanza ukute mwanangu kadata kwa mapishi yako binti yangu mhh ujue wewe nawee jamni" alisema mama mkwe baba mkwe aliendele kula tu alidakiaa mdada mmoja ni wifi ila nilikuwa simjui jina hata " wifi yangu jamani mimi naitwa Hawa ujuee napenda kula mhhh jamni
0 Comments