HATARIIII 03 SEHEMU YA "3"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ basii bhanaa nikichezea fimbo pale mpaka baba akaja kuniamulia aisee

HATARIIII 03  SEHEMU YA "3"❤️❤️❤️❤️❤️❤️  basii bhanaa nikichezea fimbo pale mpaka baba akaja kuniamulia aisee

😫😫nyieee mama angu ni hatari anachapa fimbo sana ht km umeolewa ukija kwake ukikosea fimbo lazima huwezi kuepuka 🤣🤣🤣 basi bhanaa baada ya kipigo kikali nililia mpk nikatapika kaka angu akanambia pole mdg wangu umepigwa kwa ajili yangu basi kaka angu ni mpole alikua anatia tu huruma nikalia badae nikakumbuka kwa mara ya kwanza nmepigwa busu ahahaha maumivu yakapungua basi nilikuta wanataka kula tukakaa tukala apo nyumbn tulikuepo mimi mama baba kaka na ndg wengine wawili watt wa mjomba wangu na uzuri wa kwetu ukishapigwa unapewa na kichambo story zinaendelea km hakuna kilichotokea🥴🥴 Basi bhana mda wa kwenda kulala nikamwambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments