SEHEMU YA 37💘💘 Nilizani mwizi kumbe mmmmmmmmm🔥🔥🔥🔥😏

SEHEMU YA 37💘💘 Nilizani mwizi kumbe mmmmmmmmm🔥🔥🔥🔥😏

Alex akauliza juddy amekuja kufanya nini huko mama ake akamwambia kwani we nini kimekuleta hapa kwani si ulisema hauta kuja tena hapaaaa Alex akasogea akamwambia maama kwanini tugombane kwa mambo yasiyoeleweka?? "Et eeh hayaeleweki sio haya tokaa" mama alitufukuza mkavu kabisa "Mamaaa!! Naomba tuongee" "Kuhusu niniii??" "Naomba tukae" Yule mama akasogea mpaka kwenye kochi akaket muda huo huo alitoka na baba yake Alitukalibisha vizuri tu nikasalmia wakatikia Alex akasema Nimekuja kuomba Radhi kwa yale yaliyotangulia nyumaa Baba ake akasema ni ilo tu au kuna linginee?? Kama la msamaha hilo limeisha lekebisha tu ulipokosea we ni kijana Baba yake ndie alimuambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments