
Nilikaa pale kitandani kwa Robby huku moyo ukilia ndundundundundu.....aaah uoga jmn si mnajua ..... Robby mwenyewe alikuwa amelala chali huku amejifunika shuka kuanzia miguuni mpaka kiunoni Lkn kifuani alikua nacked hahaha....yes ...yaan alikuwa hajavaanguo yoyote nyie ...alikuwa amefunga macho huku mkono ameweka hapa kwenye paji la uso ....nadhani mnapata picha kamili jinsi alivyokuwa Kalala eee..... Ule uzuri wake ulionekana vizuri zaidi ....haya tuendelee.....nilikaa kimya kama nimemwagiwa maji.....huyu naye vipi kaniita alaf haongei kasinzia tu..... niliwaza.....nilivoona haongei nikavunja ukimya..... kaka Robby mi naenda sebuleni nina kazi....si nikanyanyuka ili niodoke ......sikitu.....abee kaka....njoo hapa ...nikarudi...kaa ...nikakaa.....unakazi gani zaidi? Robby aliniuliza......napika kaka.....nilimdanganya....... Na kwanini
0 Comments