
.Yan aliona jau kwel Yan bac akajiamulia hataki ten kuniomba mambo ya mapenz . siku ikapita vizur kesho yake ili ni birthday ya dada angu Zalina ,ivyo nikawa na shauku sana ya kuhudhuria ila nikawaza ntaombaje ruhusa n Mimi siruhusiw kutoka kabisa Yani . Nikapanga mipango yangu nikaanza kujipendekeza nikaanza kuaanda break fast mwenyew ,apo nilikuw sipiki sana nyumbani ila nilifundishwa kidogo maana nilikuw last born kwaiyo mideko Kwa baba kama yote . Uku sasa nikawa naanda chapati picha linaanza ninangano mwili mzim nimemaliza kukanda nikawa nimeweka jikoni chapati yangu nzur ,nikawa naangaza uku na uku nikiwaza plan Yan ikifel
0 Comments