
" J unaliza swali gani sasa hilo, mtaji unatoa wapi, kwamba mimi niko wapi? Pale pale aliniingizia ml 70 kwenye acount yangu,tayali nilikuwa nimeshawasha simu, nilivyonunuliwa tu simu, nikatamani tu kuwa hewani, hata maumivu ya kuachwa na mlokore nikawa sina kabisa, nilivyowasha simu sms kama zote, sikujibu hata moja wala kusoma, nilifuta zote... Nikawa bize kupiga picha tu, kwahiyo pesa ilivyoingia tu nijaona sms ya bank kunijulisha, nilimtizama mala mbilimbili, J mbona pesa nyingi sana hii, J wala hata hakujibu, aliendelea nakazi zake kwenye pc, nilimsogelea akaniambia " ukinigusa tu mke wangu ujue kabisa, utanipa kama huna mpango wa kunipa
0 Comments