SEHEMU YA KUMI NA NANE* A STRANGER WHO STOLE HIS HEART❣️

SEHEMU YA KUMI NA NANE* A STRANGER WHO STOLE HIS HEART❣️

"Loveness Yuko wapi ?" Mr zamba aliuliza kwa kufoka " Yupo chumbani lakini hutakiwi kumfokea uncle " " Wewe ni nani wa kutupangia, yeye ni binti yetu akikosea ni lazima kuadhibiwa " alisema bi Adeline " Loveness...loveness " aliita Mr zamba kwa kupayuka loveness alitoka akiwa anatetemeka sana " Uliondoka hapa Tanzania kwenda kufanya upuuzi huko ,tunataka utuambie hiyo mimba ni ya nani ?" Alifoka Mr zamba " Daddy ,mom naombeni mnisamehe haki ya mungu tena sikupanga iwe hivi " " Huwezi kutuletea aibu kwenye familia yetu na hiyo mimba utaenda kutoa ,mke wangu mchukue" Mr zamba alitoa amri Bi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments