SEHEMU YA KUMI* SALMA MTAA WA SABA ❣️

SEHEMU YA KUMI* SALMA MTAA WA SABA ❣️

Baada ya mazungumzo marefu na changamoto kadhaa, Salma alikuwa ameanza kuruhusu moyo wake kuupokea upendo wa Fariss kwa uzito zaidi. " Fariss naomba usiniache kwajili ya matendo yangu unajua kwenye maisha yangu sijawahi kukaa kwenye usiano kwa muda mrefu kama hivi. Nakupenda sana Fariss na kama nilivyokwambia juwa nitaacha mambo yote na kufuata kile unachotaka. Fariss alilidhika kiganja cha Salma na kukipeleka karibu na mkono wake na kumbusu. " Nakupenda sana Salma na kama itaamua kubadilika basi una nafasi kubwa kwenye maisha yangu . Waliendelea kuongea mambo mengi kuhusu maisha yao na kupeana ahadi nyingi. Siku za mwanzo Salma aliamua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments