
Mpaka najifungua cha moto nimekiona, upande wa J alikonda kwa kuwaza, muda ulizidi kwenda anatakiwa kwenda chuoni, na mimi sionekani, alizidi kuvulugwa, aliludi kwao kimya kimya akamkuta mama ake, mama alishtuka kama kaona mzimu... " Jeon mwanagu mbona bila taarifa? J akujibu zaidi ya kuuliza, mke wangu yuko wapi? " Mwanangu awa wanawake mnaokota okota siku izi, sijui mnawatoa wapi, yani inavyoonekana yule hakuwa na mimba yako, ulivyoondoka tu akaanza kupanua kucha zake sasa, ata sijui kaenda wapi mwanangu ila alikuwa na mtu nje na wewe... Nilikushauli mapema mwanangu muone sandra, tunamjua kitambo, na familia yake iko vizuli cha ajavu
0 Comments