SEHEMU YA 22-----23 A STRANGER WHO STOLE IS HEART

SEHEMU YA 22-----23 A STRANGER WHO  STOLE IS HEART

"Nisamehe sana Winnie sikuja hapa kugombana na wewe nataka tu kuongea maneno machache na wewe " " Niachie Elian nitakun'gata Sasa ivi " Winnie hakuwa anatania aliun'gata mkono wa Elian , Elian alimuachia alitoa karatasi na kumpatia Winnie " Unanipa hizo karatasi za nini ?" " Ni hati ya hii nyumba inaonyesha wewe ndo mmiliki wa hii nyumba kwanzia leo " " kwanini unipe hati ya hii nyumba na sio loveness ?au unataka kunifanya niwe mchepuko ? Hilo sahau " Winnie alimtupia Elian ile hati ya nyumba " Sio kama unavyofikiria Winnie ,nimekupa hii nyumba kama njia ya kusema samahani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments