
ENDELEA...... Samir alifumbua macho na kuanza kutalii humo chumbani. Alishangaa baada ya kuona mapambo kitandani yaliyoambatana na neno tamu kuhusu yeye. Alinigeukia na kunikumbatia Kwa hisia. Kwa mala ya kwanza akili Kwa kinywa chake kuwa ananipenda. "Nakupenda sana mke wangu Nadra". Aliyasema hayo Kwa hisia Kali huku akiwa amenikumbatia. "Nakupenda pia mume wangu. Usije ukaniacha kwaajili ya walimwengu wenye Hila na penzi letu". "Amini wewe ni wangu milele. Siwezi kukuacha mama. Kwa muda mchache tu umenibadilisha wallah najiona mpya kabisa". Samir aliongea hayo na pasipo kutarajia machozi yalianza kumtililika mashavuni. Kwakweli tulilia wote. Mapenzi ni hisia na hisia zenyewe ndo
0 Comments