USINITANGAZE 01 ❤❤

USINITANGAZE 01 ❤❤

SONGA NAYO........ Kibinti kidogo kabisa tena kinachotegemewa kuleta mchango kwa taifa siku za usoni ila ufinyu wa fikra zake uliwaduwaza wengi mpaka wazazi wake, kibinti kilipenda kufatilia mambo ya watu wazima kuliko hata kuzingatia masomo, kusoma penyewe tu ilikuwa binde balaaa, a, e, i, o na u ndizo zilizokuwa kwenye kichwa chake ila mambo ya 10×2 sijui 50-3 hayakuwemo kabisa na kilikuwa hakielewi kitu Kiite Boke. Asubuhi hiyo kiligoma kabisa kwenda shule baada ya kusingizia kinaumwa. "Boke ivi utaacha uvivu lini!?, amka uende shule!" "Mimi naumwa!" "Ebhu amka huko!" Alivuta shuka ila Boke aligoma kabisa kuamka kwa ajili ya kwenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments