Siri Ya Mvuvi Na Bahari Lakini kabla ya kunijibu akaniuliza umesema unanipenda je una malengo gani na mimi... Inaendelea... Sehemu Ya 05

Siri Ya Mvuvi Na Bahari   Lakini kabla ya kunijibu akaniuliza umesema unanipenda je una malengo gani na mimi...  Inaendelea... Sehemu Ya 05

Nilimjibu kirahisi tu nitakuoa, mrembo Salha akawa amenikubali tukaendelea na maongezi, badae mambo yakawa mazuri nikatafuta nyumba ya kulala wageni, nikalala na Salha usiku ule mpaka asubuh, kwa mara ya kwanza nikajikuta nimemsaliti Latifa, lakini asubuh palipokucha niliamka na kujikuta nikiwa peke yangu, na mlango umefungwa kwa ndani, Mh! nilianza kujiuliza au niliamka na kufunga mlango baada ya Salha kuondoka!? nikawa sielewi ilikuwaje hadi Salha hayupo harafu mlango umefungwa! tena kwa ndani!? nilijiuliza maswali mengi lakini nikaamua kuachana nayo, badae nilikutana na Latifa lakini nilikuwa nikimtazama usini najihisi kumkosea sana, Zile siku tatu za kuanza kazi zikawa zimefika lakini kabla

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments