
Riziki ni muoga sana akasema yeye hana mpango wa kuwa na mahusiano wala mwanamke, tukaanza kubishana pale mwisho nikaona ngoja nikajaribu mwenyewe, nikaenda hadi pale alipo yule msichana, nilifika na kumsalimia...Mambo " yeye poa" naona umetulia peke yako vipi kuna mtu unamsubiri" hapana nimekuja kuangalia mazingira ya huku ufukweni" inaonekana wewe ni mgeni wa maeneo haya" ndio lakini sio sana " Nikaongea nae pale,na alionekana ni mwenye furaha, nikamtongoza kama utani nikamwambia japokuwa tumekutana kwa mara ya kwanza lakini mwenzio nimeshakupenda hivyo, alicheka na kuniambia kweli leo tu,umeshanipenda au umenitamani? nikamwambia yote sawa lakini ndio ukweli wangu,nikamuuliza jina lakini akaniambia
0 Comments