
wachumba haoo👏 " Hii ilikuwa ndiyo nyimbo ambayo tuliimbiwa na wafungwa wenzetu siku ya kwanza kabisa tulipokuwa tukishuka kwenye karandinga la polisi tukitokea mahakamani baada ya kuhumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Siku hiyo wafungwa tuliopelekwa gerezani tulikuwa wawili tu nilikuwepo mimi Mr. Moris ambaye nilihukumiwa jela miaka kwa makosa ya kujitakia mwenyewe, baada ya kumkaribisha mtu nyumbani kwangu usiku, akaniomba nimpe hifadhi ya kulala kwani ametokea kijiji cha tatu kutoka kijiji nilochopo, anatembea kwa miguu maana amefiwa na mama yake mkoani Arusha lakini sehemu aliyokuwa anafanya kazi bosi wake amemnyima mshahara wake kwa madai kwamba anasingizia
0 Comments